MKE WA WAZIRI MKUU MAMA TUNU PINDA AZINDUA DVD YA KWAYA YA KANISA LA TAG MWENGE

 Tunu Pinda akiwa anaonyesha DVD yenye jina la Mungu Wetu Halinganishwi iliyo imbwa na kwaya ya Kanisa  la Tag Mwenge wanaoshuhudia ni kulia kwa Mama Pinda ni Mchungaji kiongozi Abdiel Mhini kulia mwenye kilemba ni Mchungaji Grace Mainoya anayefuatia ni Askofu wa jimbo la Mashariki Kaskazini  Spear Mwaipopo Mama Tunu Pinda alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa Dvd hiyo iliyoizindua leo.

 Mama Tunu Pinda akiwa anasoma risala kwa waumini wa Kanisa la TAG kabla ya kuzindua dvd  picha zote na Chris Mfinanga