AZAM FC WAPO MAWINGUNI SASA KUELEKEA MOROCCO


ONI HII KWENDA KUWEKA HISTORIA AFRIKA

Wachezaji wa Azam FC, Khamis Mcha 'Vialli' kushoto na Aishi Manula kulia wakiwa kwenye foleni ya mstari wa kuingia ndani ya Uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere, Dar es Salaam mida hii tayari kwa safari ya Morocco kwenda kucheza mechi ya marudiano na wenyeji FAR Rabat Jumapili ijayo katika Raundi ya Tatu Kombe la Shirikisho. Azam inayoondoka kwa ndege ya Emirates, wadhamini wa Arsenal, inahitaji sare ya mabao au ushindi ili kusonga mbele.