MUNDUGWAO CUP YASHIKA KASI JIMBO LA LULINDI


MUNDUGWAO CUP
JIMBO LA LULINDI LIMEANZISHA
MASINDANDOYA MPIRA WA MIGUU AMEANZANIA YANENDA KWA JINA LA MUNDUGWAO CUP IYOSHIRIKISHA TIMU 8 KWA NJIA YA MTOANO TIMU HIZO NI
  1. IGO FC TOKA KIJIJI CHA LULINDI
  2. KIZAZI KIPYA TOKA KIJIJI CHA LULINDI
  3. ZAMBOKO TOKA KIJIJI CHA NAGAGA,
  4. KADIFU TOKA KIJIJI CHA MKANGAULA,
  5. BEACH BOYS TOKA MPOPO,
  6. SENTANO YA KIJIJI CHA MKULULU,
  7. CHIWAMBO STAR TOKA KIJIJI CHA KIWAMBO,
  8. AFRIKANA TOKA KIJIJI CHA LUAGALA

MASHINDANO YAMEANZA  JUMAPLI 24/3/2013 KWA MECHI KATIKA YA IGO NA ZOMBOKO MAKOTEO DAKIKA 90 2KWA 2 IKAINGIA HATUA YA PELNATI AMBAPO TIMU YA IGO IKAPATA 6 NA ZOMBOKO 5
RATIBA INAENDELEO LEO
TAREHE 25 CHIWAMBO NA MPOPO
TAREHE 26- AFRIKANA NA MKULULU
TAREHE 27 –KIZAZI KIPYA NA KADIFU

FAINALI TAREHE 7/4/2013 JUMAPILI KATIKA UWANJA WA LULINDI MGENI RASMI ANATEGEMEWA KUWA MWANAMUZIKI NGULI WA MUZIKI WENYE VIONJO VYA ASILI  NCHINI CHE MUNDUGWAO AMBAYE NI MZALIWA WA KIJIJI CHA LULINDI ,WAILAYA MASASI
MASHINDANO HAYO YANAENDESHWA NA KATIKA KAMATI MAALUM WADAU SOKA KATIKA JIMBO LA LULINDI WILAYA YA MASASI MKOA WA MTWARA, CHINI URATIBU WA MOHAMED MACHUPA.HII NI HATUA YA KWANZA TIMU ZIMEGAWANJWA KWA MAKUNDI 4 KATIKA KATA 15 ZA JIMBO LA LULINDI

 KUNDI B:  KATA ZA CHIUNGUTWA, LIKUMBULU NANJOTA NA MBUYUNI

 KUNDI C: KATA ZA MCHAURU, MNAVILA, CHIKOLIPOLA NA SINDANO

 KUNDI D: KATA ZA MPINDIMBI, MARIKA, MKUNDI NA CHIWATA

MADHUMUNI YA MASHINDO HAYO KUINUA VIPAJI NA KUENDELEZA MCHEZO WA SOKA VIJIJINI PIA KUPATA TIMU YENYE MALENGO KUFIKA LIGI KUU NA KUONDOKA DHANA KWAMBA TIMU ILI ICHEZE LIGI KUU LAZIMA ITOKE MJINI WAKATIKA VIJIJI TOKA VIPAJI LUKIKI
 SAMBAMBA HILO PIA KUNA MATAYALISHO YA TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI JIMBO