SIMBA HAOO A-TOWN


KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Simba Sc kipo njiani kwenda mjini Arusha tayari kwa mchezo wake wa ligi hiyo dhidi ya wenyeji, JKT Oljoro utakaopigwa keshokutwa  kwenye dimba la Sheikh Amri Abeid.