AZAM YAITANDIKA MTIBWA 4-1 NA KUIKABA KOO YANGA

WANALAMBALAMBA Azam FC leo wameitandika Mtibwa Sugar ya Morogoro mabao 4-1, ambapo matokeo hayo yanaifanya ifikishe pointi 33 sawa na Yanga huku ikiendelea kushika nafasi ya pili