WAREMBO MISS UTALII WALIPOTEMBELEA OFISI ZA FREE MEDIAWarembo wakipata maelezo kutoka kwa Meneja Matangazo Twalib Mungulu walipotembea ofisi za Tanzania Daima katika Idara ya Matangazo.
 Washiriki wa shindano la Miss Utalii ngazi ya taifa, wakipata ufafanuzi wa uandaaji wa gazeti la Tanzania Daima, kutoka kwa Mhariri Mtendaji wa Free Media, Ansbert Ngurumo, wakati walipotembelea chumba cha habari cha gazeti hili jana jijini Dar es Salaam jana. 
Mhariri wa Michezo wa gazeti la Tanzania Daima, Tullo Chambo akifafanua jambo. 
Baadhi ya warembo wakiwa katika kitengo cha usanifu kurasa. 
 Warembo wa Miss Utalii wakipa maelezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Uhakiki wa Habari, Julius Kunyara..Pembeni Sports Lady Dina Ismail nikiwajibika.