MSONDO WAMTAMBULISHO KAMBI KWA MBWEMBWE


Waimbaji wa bendi ya Msondo ngoma wakiwajibika katika onesho lake maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi wa pili kulia wengine ni Hassani Moshi kushot Eddo Sanga na Juma Katundu onesho lililofanyika katika ukumbi wa Max Bar Ilala Bungoni.
Mashabiki wa bendi ya msondo music wakicheza kwa furaha wakati wa onesho maalumu la kumtambulisha mwimbaji mpya wa bendi hiyo Othumani Kambi Picha zote na www.burudan.blogspot.com

Comments