UGANDA CRANES MABINGWA TENA CHALENJI, ZANZIBAR HEROES YATWAA NAFASI YA TATU

Timu ya Taifa ya Uganda 'The Cranes' jana imefanikiwa kutetea taji la michuano ya Cecafa Chalenji 2012 baada ya kuwabamiza jirani zao Kenya mabao 2-1 katika mchezo wa fainali.
Aidha, Zanzibar Heroes imetwaa nafasi ya tatu ya michuano hiy baada ya kuwabamiza ndugu zao Kilimanjar Stars ka matuta 6-5 kufuatia sare ya bao 1-1 .