HER YA X-MASS KUTOKA NGOMA AFRICA BAND aka FFUBendi ya Muziki wa dansi Ngoma Africa Band yenye makao yake nchini Ujerumani inawatakia wadau wote Heri ya Siku kuu  ya X-Mass, Amani na Upendo ndio msingi pekee wa furaha ya maisha.
Merry X-Mass wadau wote ! Popote mlipo
Furahia Merry Christmass na midundo 
bofya at   www.ngoma-africa.com

0 Maoni::

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.