SKYLIGHT BAND YAZIDI KUCHENGUA MASHABIKI @ THAI VILLAGE - MASAKI JIJINI DAR


Wapiga vyombo wa SKYLIGHT BAND wakiwapa raha mashabiki.
Kifaa kipya cha SKYLIGHT BAND kikicharaza Gitaa.
Aneth Kushaba AK47 katika hisia kali.
SAM, Aneth Kushaba AK 47, Mary Lukas na Sony Masamba wakitoa burudani mwishoni mwa juma katika kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam.
Uzao wa BSS Mary Lukas akiwapa raha mashabiki.
Kijana SAM wa SKYLIGHT BAND akiimbia kwa hisia kali.
Shabiki akionekana kukunwa na sauti za warembo wa SKYLIGHT BAND.
Pichani Juu na Chini Mashabiki wa SKYLIGHT BAND wakisakata mduara kwa raha zao.
Kuna walioingia kati na kumwaga radhi kama picha inavyojieleza.
Hapo sasa twende kazi, Warembo wakizungusha nyonga sawa sawa.
Mdau Rachi Guch (kushoto) akiwa na marafiki zake.
SAM wakisho love na Blogger King Kif.
Couples ikishow love mbele ya Camera yetu.
Mdau Dagna (kushoto) akishow love na mabesti wake.
Wadau wa kila siku wa SKYLIGHT BAND.
May Love Charles na wadogo zake.
Couples katika pozi matata.
Mdau akiwa na waremboz.
Unakaribishwa kila siku ya Ijumaa Thai Village Masaki jijini Dar es Salaam kupunguza stress ya wiki nzima na SKYLIGHT BAND. Utapata Burudani za kila aina Kunzia Kwaito, Sebene, Ragga, Reggae, Dance Hall, Nigerian Flavor, na nyingine kibao.