EVANS BUKUKU COMMENDY CLUB YAWASHIKA WAKAZI WAPENZI WAKE NDANI YA NYUMBANI LOUNGE, DAR

  Mshereheshaji Taji Liundi akiongoza jahazi ndani Commedy live ambayo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
...Kila mmoja yupo busy akifuatilia onyesho.
Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT linalosimamiwa na Evans Bukuku, Raymond akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
...Watu waliojitokeza wakijiachia kwa kicheko.
Mchekeshaji machachali wa kundi la Vuvuzela, DOGO PEPE akiwavunja mbavu wageni waliojitokeza katika onyesho lao.
Vicheko kila mahali maana DOGO PEPE alikuja kivingine ka kuwaacha watu hoi.
Mwanadada Enika nae alitoa burudani.
Watu waliojitokeza katika onyesho hilo.
Mchekeshaji mwalikwa kutoka nchini Kenya, Mdomo Bag akitoa burudani katika onyesho la Vuvuzela Entertainment ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar.
Missie Popular nae akikuwepo kutoka sapoti.
Mchekeshaji wa kundi la VUVUZELA ENTERTAINMENT, Evans Bukuku akionyesha makeke yake, katika onyesho lao ambalo hufanyika kila mwishoni mwa mwenzi ndani Nyumbani Lounge jijini Dar. Picha zote na Cathbert Angelo wa Kajunason Blog.