NGASSA, REDONDO WAREJESHA MATUMAINI SIMBA SC

BAADA ya sare tasa dhidi ya Wagosi wa Kaya,klabu ya Simba leo inaendelea na mazoezi yake ya kujiandaa na ligi kuu bara ambap[o jioni ya leo watafanmya katika uwanja wa Kinesi.
Simba iliyorejea jana kutoka Tanga baada ya mechi yake dhidi wenyeji Coastal keshikutwa itawakabili Kagera Sugar ya KAgera katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Ofisa habari wa Simba, Ezekiel Kamwaga ameiambia Sports Lady Blog kwamba, wanajisikia faraja baada ya wachezaji wao waliokuwa wagonjwa Mrisho Ngassa na Ramadhan Chombo 'Redondo' kupona.
Simba inaongoza ligi hiyo kwa pointi 17.