EBSS 2012 MEDIA UPDATE

 MADAM RITA AKIKATA UTEPE
 MADAM RITA AKIFUNGUA MLANGO WA EBSS ACADEMY
 WASHIRIKI 12 BORA WAKIWAKARIBISHA WAGENI KATIKA MLANGO WA NYUMBA HIYO.
 MADAM RITA AKIWATEMBEZA WAGENI KATIKA NYUMBA
 WASHIRIKI 12 WAKIPOZI KWA AJILI YA PICTURE
 MSHIRIKI MENYNAH ATICK AKIPOZI KWA AJILI YA PICTURE AKIONYESHA SIMU YAKE YA SAMSUNG GALAXY
 VIONGOZI WA ZANTEL WAKIPOZI KWA AJILI YA PICHA NA WASHIRIKI 12  BORA.
 NORMAN SEVERINO AKIWAIMBIA WAGENI.
 H BABA AKIPOZI KWA AJILI YA PICHA NA WENZAKE
 WASHIRIKI 12 WA EBSS WAKIPOZI KWA AJILI YA PICTURE NA MSHINDI WA BONGO STAR SEARCH MWAKA 2011, HAJJ RAMADHANI.


BAADHI YA WANAMUZIKI WALIOFIKA KATIKA SHEREHE YA UFUGUZI WA EBSS ACADEMY