SIMBA WAENDA KUJICHIMBIA ZENJI

MABINGWA wa ligi kuu bara Simba Sc wanatarajiwa  kwenda visiwani Zanzibar kwa ajili ya kambi maalum ya kujiandaa na mechi zake za ligi kuu soka Tanzania Bara na hasa mchezo wao dhidi ya mahasimu wao wa jadi, Yanga Sc utakaopitka Oktoba 3.