YANGA KUMZAWADIWA BAHANUZI

MABINGWA wa kombe la Kagame, Yanga wanatarajiwa kumzawadiwa mchezaji wao Said Bahanuzi kutokana na kuwa mfungaji bora wa mivhuano hiyo iliyomalizika hivi karibuni.
Ofisa habari wa Yanga, Louis Sendeu amesema kwamba uongozi utampatia zawadi hiyo kama motisha ili kutoa changamoto kwa wengine kujituma.