SIMBA KUWAFARIJI WATOTO YATIMA KINONDONI LEO


Agosti 6, 2012: Kutembelea watoto yatima Maungu Orphanage Center, K’ndoni Mkwajuni
Agosti 7, 2012: Kutembelea wagonjwa Mwananyamala hospitali
Agosti 8, 2012: Simba Day (Uwanja wa Taifa, burudani na mechi)
Agosti 9, 2012: Kutembelea shule ya msingi Mgulani kuhamasisha michezo mashuleni
Agosti 10, 2012: Kutembelea kiwanda cha TBL Ilala