MEYA WA ILALA JERRY SLAA ALIPOZINDUA JARIDA LA 'SAUTI YA ILALA'

 MTAHIKI meya wa Ilala Jery Slaa (Aliyeshika jarida) akiwa akatika picha ya pamoja na wafanyakazi wa 361 Degrees inayoratibu uchapishaji wa jarida la 'Sauti ya Ilala' linalomilikiwa na manispaa ya Ilala.
Slaa alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa jarida hilo ambalo litakuwa na habari mbalimbali zinazohusu manispaa hiyo na litakuwa likigawiwa bure ndani na nje ya nchi.

 Mdau kutoka 361 degrees
 Waliohudhuria uzinduzi huo katika ukumbi wa Arnatoglu
 NMheshimiwa diwani....

 Kikosi kazi cha 360 degrees inayomilikiwa na mbunifu maarufu wa mavazi, Mustafa Hassanali

 Baaadjhi ya wadhamini wa jarida hilo, kutoka Home Shopping Centre

CEO wa 361 Degrees Mustafa Hassanali akizungumzia mchakato mzima kuhusiana na jarida la Sauti ya Ilala