GODLOVE MULIAHELA:MTANZANIA ANAYEFANYA KWELI NCHINI UJERUMANI KATIKA MUZIKI WA INJILI

 Godlove Muliahela akiwa anafanya Shooting ya wimbo wake ambao utatoka hivi karibuni.
 Hapa alikuwa akiimba ndani ya Boti , wakati wa kutengeneza wimbo wake 
 Ilikuwa ni wakati wa mapumziko hapa akiwa pamoja na ma producer wake
 Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake inaendelea hapa 
 Akiwa pamoja na Mpiga picha wake wa Video, Hapa ni Full Ki Dutch 
 Hapa ilikuwa ni wakati ambapo alikuwa anaweka Mashairi sawa sawa kwa ajili ya kuendelea na Shooting 
 Kazi ya kuendelea kurekodi wimbo wake inaendelea hapa 

Hapa akiwa pamoja na kwaya yake huko Ujerumani