GARDNER G.HABASH KUANZA KUSIKIKA REDIO TIMES FM

Mhariri Mkuu wa Redio Times Fm Scolastica Mazula wa pili kutoka kushoto akimtambuylisha mtangazaji mpya wa redio hiyo Gardner G. Habash wa kwanza kushoto katika hafla maalu kwa waandishi wa habari leo katika ukumbi wa Sports Lounge.Gardner atakuwa anasikika katika kipindi chaMaskani kitakachorushwa kuanzia saa 10 jioni hadi saa m oja usiku.Kulia ni mtangazaji wa Mirindimo ya Pwani Khadija Shaibu 'Dida wa G' na anayemfuatia n i mhariri wa michezo Clifford Ndimbo.
Baadhi ya Majembe yanayopiga mzigo Times Fm 100.5
Hawa nao ni baadhi ya wafanyakazi wa Times Fm
Tukio muhimuu