FFU WALIVYOFANYA KWELI INTERNATIONAL FESTIVAL,TUBINGEN Chris-B,soloist
 FFU wa Ngoma Africa wakitembeza mitutu, Tubingen 2012


 Gwaride la FFU_1 jukwaa la FFU limevamiwa na washabiki

 Ras Makunja na award,akipongezwa na wadau

FFU wa Ngoma Africa  band walipofanya kweli katika maonyesho ya International African Festival, mjini Tubingen,Ujerumani siku ya jumamosi 11.080.2012, Pia maonyesho hayo yaliambatana na sherehe za tuzo la"IDA- International Diaspora Award"  mshindi wa Tuzo hiyo ni Ngoma Africa band,ambayo imechaguliwa kuwa ndio bendi bora ya kiafrika iliyofanya kazi nzuri
ya kuutangaza mziki wa kiafrika kwa kasi na kujizolea mamilioni ya washabiki katika kila kona diniani.Tuzo hiyo ya "IDA-International Diaspora Award" ambayo imekabidhia kwa kiongozi wa bendi hiyo Kamanda Ras Makunja wa FFU,
Wasikilize at  www.ngoma-africa.com pia ungana nao atwww.twitter.com/ngomaafrica