YANGA YAPIGWA 3-2 NA JAMHURI

KLABU ya soka ya Yanga jana imeanza vibaya michuano ya kombe la Urafiki baada ya kukubali kichapo cha mabao 3-2 na Jamhuri, katika mchezo ulipoigwa kwenye dimba la Amaan visiwani Zanzibar.