SHEREHE YA KUTOLEWA MAHARI NA KUVISHWA PETE YA UCHUMBA KWA MISS SABINA ALEXANDAR ALIVEISHWA NA KASIAN.

 Kasian Ernest, akimvisha pete mchumba wake  Sabina Alexander wakati wa sherehe ya kutolewa mahali ilyofanyika nyumbani kwao Mbezi Beach jijini Dar es Salaam.
 
Raha ya wapendanao ,Miss Sabina Alexander akiwa katika pozi ya picha na mchumba wake Kasian Ernest ,baada ya kutole mahali na kuvishwa pete ya uchumba katika hafla iliyofanyika Mbezi Beach jijini Dar es Salaam. 
 Zawadi tym
 Zawadi muhimu katika mambop kama haya
 Maakuli tyme


Picha ya ukumbusho