MENEJA WA KILIMANJAR​O AZITEMBELE​A SIMBA NA YANGA KAMBINI


Wachezaji wa Simba SC wakimsikiliza George Kavishe, Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager ambayo ni mdhamini mkuu wa klabu hiyo alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya Kombe la Kagame jijini Dar es salaam jana (Picha: Executive Solutions)Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, George Kavishe akiongea na kocha mkuu wa Yanga, Thomas Saintfiet alipoitembelea timu hiyo kwenye kambi ya mazoezi kwa ajili ya kombe la Kagame jijini Dar es salaam jana (Picha: Executive Solutions)