MASHUJAA INVESTIMENT, VALLEY SPRINGS WAPIGA TAFU MISS UTALII KINONDONI

Kampuni za mashujaa Investment na Valley Springs zimejitosa kudhamini shindano la Miss Utalii Kinondoni linalotarajiwa kufanyika Julai 20 kwenye hoteli ya Travetine iliyopo Magomeni jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Shindano hilo, Methusela Magesa amesema kwamba maandalizi ya shindano hilo yanaendelea vema ambapo washiriki wanaendelea na maandalizui yao katika hoteli hiyo.