MAJAJI EBSS WATEMBELEA BANDA LA ZANTEL MAONYESHO YA SABASABA


MAJAJI WA EPIQ BONGO STAR SEARCH, MADAM RITA, SALAMA J NA MASTER J WAKITOKA KWENYE BANDA LA ZANTEL

MADAM RITA NA SALAMA J WAKIPIGA PICHA NA WAFANYA KAZI WA ZANTEL NJE YA BANDA LA ZANTEL - SABASABA
 
MASTER J AKIPIGA PICHA MBELE YA TANGAZO LAKE LA EPIQ MOTO.


MADAM RITA AKIWASALIMIA WAFANYAKAZI WA ZANTEL.

MADAM RITA AKIZUNGUSHWA BANDA LA ZANTEL SABASABA

MADAM RITA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI

MENEJA MAWASILIANO WA ZANTEL, AWAICHI MAWALLA AKIJIBU SWALI LILILIOULIZWA NA MWANDISHI WA HABARI.

SALAMA J NA MASTER J WAKIPEANA MIKONO NA WANAFUNZI AMBAO WALIKUWA NJE YA BANDA YA ZANTEL 

UPENDO ERNEST AKICHUKUA FOMU YAKE YA USAJILI KWA AJILI YA EPIQ BONGO STAR SEARCH.