MAANDALIZI YA PAMBANO LA ZOLA D, MCHUMIATUMBO YAZIDI KUNOGA

 Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) akishikana mikono na mabondia Alphonce Mchumiatumbo (kulia)na David Mlope maarufu kama Zola D Kinglitakalofanyika Sikukuu ya Eid El Fitri katika uwanja wa Bandari Temeke anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim Taalib.
 Meneja wa Bondia David Mlope maarufu kama Zola D King, Shomari Kimbau akisoma mkataba wa bondia wake dhidi ya Alphonce Mchumiatumbo (kulia)litakalofanyika Sikukuu ya Eid El Fitri katika uwanja wa Bandari Temeke, Idd El Fitri.