KOCHA YANGA ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI

Kocha mpya wa Yanga Mbelgiji Tom Saintef akisaini mkatba wa miaka miwili kwa ajili ya kuinoa timu hiyo katika hafla iliyofanyika leo kwenye ofisi za klabu hiyo mitaa ya Jangwani na Twiga,Katikati ni katibu mkuu wa Yanga Mwesiga Selestine na kulia ni mmoja ya wafadhili wa timu hiyo Majid .
 Kocha mkuu wa Yanga Tom Saintfe pamoja na katibu wa klabu hiyo Selestine Mwesiga wakitafakkari jambo
Saintfe akibadilishana mkataba na Mwesiga huku Majid akishuhudia.