BONDIA MCHUMIATUMBO AMPA SIKU 7 BINGWA WA UZITO WA JUU KUKABIDHI MKANDA

 BONDIA wa ngumi za kulipwa nchini katika uzito wa juu 'Heavy Weight' Alphonce Mchumiatumbo akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo kuhusina na kutaka kumkabili bingwa mtetezi Awadh Tamim na kumpa siku saba kutoa tamko la mchezo huo ama kuachia mknda ili apiganie na bondia mwingine.Kulia kwake ni kocha wake Juma Uwesu.
 Mchumiatumbo akitoa manjonjo