WACHEZAJI WA ZAMANI WACHOMOZA UCHAGUZI YANGA SC

Aron Mwinula Nyanga kushoto akiwa nma mfanyakazi mwenzake.


WACHEZAJI waliopata kuichezea klabu ya Yanga miaka iliyopita ni mingoni mwa wanachama waliojitokeza kuwania nafasi mbalimbali za uongozi wa klabu ya soka ya Yanga uliopangwa kufanyika Julai 15 jijini Dar es Salaam.
Leo ndio ilikuwa siku ya mwisho kurejesha foimu hizo ambapo wachezaji hao wa zamani waliojitosa ni pamoja na Aron Nyanda,  Ramadhan Mzimba, Edger Fongo, Zubeiry Katwila (ujumbe) na Ali Mayay anayewania nafasi ya Makamu Mwenyekiti.

Comments