RAIS AKUTANA NA WAQZIRI WA HABARI NA UONGOZI WA RIADHA


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara (hayupo pichani) na viongozi wa chama cha riadha alipokutana nao kwa mazungumzo na kupanga mikakati ya namna ya kufufua mchezo wa riadha nchini. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Riadha nchini William Kallaghe, Mkurugenzi wa Michezo Bw. Thadei na kushoto ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Riadha Suleiman Nyambui.