NOELA ATWAA TAJI LA MISS TABATA 2012

Mshindi wa Kinyang'anyiro cha Redd's Miss Tabata 2012,Noela Michael (katikati) akiwa pamoja na mshindi wa pili,Diana Simon (kushoto) na wa tatu,Wilhemina Mvungi (kulia) muda mfupu baada ya kumalizika kwa kinyang'iro hicho,usiku wa kuamkia leo kwenye Ukumbi wa Da' West Park,Tabata jijini Dar. Tano Bora. Kumi Bora. 

Comments