MDAU MAARUFU WA MICHEZO ALI AURORA AFARIKI DUNIA

MDAU maarufu wa michezo na promota wa ngumi za kulipwa Tanzania, Ally Suleiman 'Aurora' (pichani) amefariki dunia, imefahamika.
Habari ziliziopatikana jijini le zinaeleza kwamba Aurora ambaye amezikwa mchana wa leo, alikutwa na umauti hui jana katika hospitali ya Muhimbili alipolazwa chumba cha uangalizi maalum (ICU) kutokana na kusumbuliwa na shinikizo la damu na kisukari.
Mwenyezi mungu ailaze roho ya marejhemu mahali opema peponi,amin.


Comments