KITWE GENERAL TRADERS YADHAMINI PAMBANO LA MAJIA NA NASSIB RAMADHAN


Mabondia nassibu ramadhani na mpinzani  wake fadhili majia ijumaa  tarehe 08-06-2012ktk ukumbi wa friends corner ulioko manzese jjini dar-es-salaam watapima uzito kwa ajili ya pambano lao a kuwania ubingwa wa taifa unaotambuliwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa tanzania [tpbo] .litakkalofanyika tarehe 09-06-2012 ktk ukumbi huo wa fiends corner
mabondia hao wanchezea ubingwa wa super fly  [52 .8] kk pambano la raundi 10. maandalizi yamekwenda vizuri na kwa bahati nzuri kampuni ya KITWE GENERAL TRADERS wamejitokeza kuwa wadhamini wa pambano ktk baadhi ya maeneo hivyo tunawaomba wakurugenzi wa makampuni mbalimbali kujitokeza kudhamini pambano hili linalohusisha mabondia chipukizi wenye uwezo mkubwa katika ngumi za kulipwa ,kwani kuandaa mapambano ya ngumi bila wadhamini 

Comments