GAUCHO ATUA ATLETICO


MWANASOKA bora wa zamani duniani, Ronaldinho Gaucho(pichani) mwenye umri wa miaka 32 amehama klabu ya Flamengo ya Brazil kutokana na kutolipwa mishahara, na anahamia Atletico ya Mineiro .
Nyota huyo wa zamani wa Barcelona na AC Milan, Ronaldinho amekubali kwenda Belo Horizonte kujiunga na Atletico Mineiro.

Comments