YANGA YAJIBU MAPIGO YA WAZEE WA BARAZA

WAKATI Wazee wa klabu ya Yanga wakishinikiza kuondoka madarakani kwa uongozi wa yanga kutokana na kudaiwa kiasi cha shilingi milioni 127, uongozi umusema ni wachezaji watatu tu ndio wanaodai fedha. Mwenyekiti wa Yanga Lloyd Nchunga amekiri kuwepo kwa deni la wachezaji huku akiwataja wachezaji Nurdin Bakari, Jerry Tegete na Canavaro na kusema kuwa hao wanadai sehemu ya fedha zao za mikataba ya kuichezea klabu hiyo.

Comments