WACHEZAJI SIMBA SC KUTUZWA

KLABU ya soka ya Simba inatarajiwa kuwapa tuzo maalum wacheza wake ambao wameiwezesha timnmu hiyo kutwaa ubingwa wa ligi kuu soka Tanzania Bara msimu wa 2011/2013.
Makamu Mwenyekiti wa Simba Geofrey nyange 'Kaburu' amesema leo kwamba tuzo hizo zitatolewa jumapili katika hafla maalum ya kujiponmgeza kwa ubingwa itakayofanyika ukumbi wa Dar Live uluiopo Mbagala jijini Dar es salaam.

Comments