MCHEZO WA POOL KWA VYUO VIKUU WAENDELEA MOROGORO

Mchezaji wa timu ya chuo kikuu cha Sokoine SUA Cleophece Cravery akijaribu kupiga mpira wakati wa mashindano ya pool vyuo vikuu inayoendelea mkoa wa Morogoro leo yaliyozaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia Bia yake ya Safari Lager
Mchezaji Chuo kikuu cha Mzumbe Morogoro, Joel Masaro akijitaalisha kupiga mpira wakati wa mashindano ya mchezo wa pool kwa vyuo vikuu yanayozaminiwa na Kampuni ya bia kupitia bia yake ya Safari Lager leo kushoto ni refa Prosper Nkya
refa Prosper Nkya kushoto akiwambia wachezaji wapige mpira kwa ajili ya kujua nani ataanza kucheza na nani atafata wakati wa mashindano ya mchezo wa pool kwa vyuo vikuu Morogoro leo Mashindano hayo yanazaminiwa na Kampuni ya bia Tanzania kupitia bia yake ya Safari Lager

Comments