KILI MUSIC AWARDS WINNERS TOUR YAZIZIMA MTWARA



 Mkali wa miondoko ya kipwani kutoka Zanzibar AT akifanya vitu vyake sambamba na wanenguaji wake wakati wa tamasha la WQashindi wa Tuzoza Kilimanjaro “Kili Music Award Winners Tour” inayofanyika hivi sasa katika uwanja wa Umoja mjini Mtwara. Wasanii kadha wanataraji kupanda jukwaani.


 Mkongwe wa Taarab, Bi Hadija Kopa akitumbuiza jukwaani na kukonga nyoyo za wakazi wa Mwambao wa Pwani ya Bahari ya Hindi Mkoani Mtwara kwa vibao vyake kadhaa ambavyo vimempa tuzo ya Kili Music  Award 2012
 Show ya wakali wa Kili Music Award 2012 ndani ya Uwanja wa Umoja mjini Mtwara ndio imeanza sasa. Pichani ni Mshindi kutoka Mtwara ambaye ataenda kurecord jijini Dar es Salaam Nicolazo akitumbuiza na kuwashinda wenzake wawili.

Chipukizi wa 3 wa Mtwara waliokuwa wakichuna kutafuta mmoja atakaeenda Kurecord jijini Dar es Salaam kwa udhimi wa Kilimanjaro Lager.


 Mashabiki wakifuatilia show hiyo ya kutafuta vipaji.
SOURCE: FATHER KIDEVU BLOG

Comments