KAGO, WALULYA WAENDE WATAKAPO-SIMBA SC

KAMATI ya ufundi ya klabu ya Simba imesema haitakuwa na pingazmi la kuwazuia nyota wa kimataifa wa timu hiyo mganda Derick Walulya na Gervas KAdo kwani viwango vyao vimeshuka na nafasi zao zitajazwa na kuingo Patrik Mbiyavanga wa Dc Motemapembe na Mussa Mude kutoka Kenya.

Comments