JUMA KASEJA NAHODHA MPYA STARS

BENCHI la ufundi la timu ya Taifa 'Taifa Stars'  limemteua Juma Kaseja kuwa nahodha wa timu hiyo.
Kaseja ambaye ni kipa wa timu bingwa ya Ligi Kuu soka Tanzania Bara Simba,  atarithi mikoba ya aliyekuwa nahodha wa Stars Shadrack Nsajigwa 'Fuso' ambaye amestaafu kuichezea timu hiyo na kuamua kubaki kuichezea timu yake ya Yanga.

Comments

  1. Acha uongo, amestaafu kuichezea Taifa Stars au ametemwa kwenye kikosi.

    ReplyDelete
  2. Kiwango kibovu et kastafu taarfa hzo alimpa nan?

    ReplyDelete

Post a Comment