INFOMATIC WATWAA UBINGWA EXEL WITH GRAND MALT KWA MKOA WA MOROGORO

 Meneja wa kinywaji cha Grandmalt Consolata Adam katikati na mkurugenzi wa chuo kikuu cha Sokoine Prof  Mzanila wakimkabidhi kombe la ushindi wa jumla Capten wa Timu ya Infomatic Ally Tambala baada ya kuibuka mabingwa wa mchezo wa mpira wa miguu kwenye bonanza maalum la ufunguzi wa tunzo za Exel with Grand Malt mkoani Morogoro ambapo ilishirikisha pia chuo kikuu cha Mzumbe,Kushoto ni msanii wa Hip hop Joh Makini.

Msanii Joh Makini akitumbuiza kwenye Tamasha la Exel with grandmalt kwenye viwanja vya Chuo kikuu cha SUA  ikiwa ni ufunguzi rasmi wa Tunzo za exel with Grandmalt Mkoani Morogoro ambapo itashirikisha vyuo vya SUA na Mzumbe 



Comments