HONGERA YA KUTIMIZA MWAKA MMOJA KWA MTANDAO WA KANDANDA

Tuwatakie sikukuu njema ya wafanyakazi wote,
Timu ya kandanda.co.tz inafurahia pia kutimiza mwaka mmoja. Ni matumaini yetu mwaka huu utakuwa wa mafanikio kwa wasomaji wetu wote wa tovuti hii.

Comments