FLAVIANA NA MSAADA MAADHIMISHO YA MV BUKOBA


Mwanamitindo wa kimataifa Flaviana Matata Amekuja nchini akitokea nchini Marekani ambako ndiko yaliko makazi yake  kwa sasa mahsusi kwa ya ajili ya kugawa msaada wa VIFAA VYA KUOKOLEA
MAISHA MAJINI (life vest)  ikiwa ni miaka 16 tangu meli ya MV BUKOBA izame ambapo mama yake mzazi alifariki kwenye ajali hiyo
anatarajia kugawa msaada wa vifaa hivyo  Jumatatu ya 21 May  jijini mwanza




Comments