FAINALI ZA REDDS MISS TANZANIA NGAZI YA VITONGOJI ZAPAMBA MOTO.


Dar es Salaam, May 4, 2012:
Mashindano ya urembo ya Redds Miss Tanzania yameanza kushika kasi baada ya hatua ya awali, ngazi ya vitongoji maeneo mbalimbali kufikia fainali zao kuanzia mwisho wa wiki hii.
Akithibitisha kufanyika kwa fainali hizo za Redds Miss Tanzania, ngazi ya vitongoji Meneja wa kinywaji cha Redds Bi Victoria Kimaro amesema; ni kweli mchakato umepamba moto hivi sasa, kwani vitongoji vingi vitakuwa vikifanya fainali zake kuanzia mwisho wa wiki hii. Kama wadhamini wakuu wa Redds Miss Tanzania tayari tumekwisha fanya mawasiliano na vitongoji vyote husika ili kuhakikisha kuwa kila kitu kinakwenda kama ilivyopangwa. Tuna hakika mashindano ya Redds Miss Tanzania mwaka huu yatakuwa na msisimko wa aina yake, maana waandaaji wamefanya kazi nzuri ya kupata warembo wenye sifa na wanaokidhi vigezo.
 
Akiyataja maeneo yanayotarajiwa kufanya fainali zake mwishoni mwa wiki na siku chache zijazo, Afisa habari wa kamati ya Miss Tanzania Bw Hidan Ricco amesema; vitongoji hivyo na tarehe zao ni kama ifuatavyo;
NGAZI YA SHINDANO
SHINDANO
TAREHE
UKUMBI
WILAYA
REDDS Miss MBEYA MUNICIPAL
4-May-12
REHEMA CITY
ELIMU YA JUU
REDDS Miss Ustawi wa Jamii
4-May-12
MAISHA CLUB
WILAYA
REDDS Miss MTWARA MUNICIPAL
5-May-12
MAKONDE BEACH CLUB
DSM CENTER
REDDS Miss UKONGA
5-May-12
WENGE GARDEN HALL
WILAYA
REDDS Miss ARUSHA CITY CENTRE
5-May-12
NAURA SPRING
WILAYA
REDDS Miss KAHAMA
5-May-12
MASIMBO PICNIC CENTRE
WILAYA
REDDS Miss KILOMBERO
5-May-12
JAMOS SOCIAL CENTRE
WILAYA
REDDS Miss MBEYA Vijijini
6-May-12
ROYAL TUGIMBE
ELIMU YA JUU
REDDS Miss UNIVERSITY OF DODOMA (UDOM)
11-May-12
KILIMANI HALL
WILAYA
REDDS Miss NJIRO – ARUSHA
18-May-12
TRIPPLE A COMPLEX
ELIMU YA JUU
REDDS Miss Higher Learning - MOROGORO
18-May-12
MBWALO UMWEMA
WILAYA
REDDS Miss MONDULI
19-May-12
 
DSM CENTER
REDDS Miss KURASINI
25-May-12
EQUATOR GRILL

Comments