DOGO ASLAY KUWAPA RAHA MASHABIKI WA ARUSHA, DODOMA


WAPENZI wa burudani ya HIP HOP na BONGO FLEVA baada ya kumsikia DOGO ASLAY kwenye Redio na kumuona kwenye Runinga, RUHAZI PROMOTION  inakuletea ‘DOGO ASLAY Live’ ktk uwanja wa JAMHURI Dodoma  JUMAMOSI JUNI 09, 2012, kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 12:00 jioni na kuanzia saa 2:00 hadi 6:30 usiku kwenye ukumbi wa ROYAL VILLAGE, mjini Dodoma.
WAKAZI WA ARUSHA WAO WATAMFAIDI DOGO ASLAY  JUMAMOSI Juni 16 kuanzia saa 6:00 mchana hadi saa 12:00 jioni uwanja wa SHEIKH AMRI ABEID kuanzia saa 2:00 usiku hadi 6:30 usiku kwenye ukumbi ambao tutautangaza baadaye, Wakali kibao watamsindikiza Dogo Aslay wakati Anakwenda Kusema kwa Mama.

Comments