SUPER STAR YATWAA UBINGWA WA MKOA WA PWANI


TIMU ya soka ya Super Star ya mjini Bagamoyo imefanikiwa kukata tiketi ya kushiriki ligi ya Taifa ikiuwakilisha mkoa wa Pwani baada ya kuifunga Young Blood ya Kibaha kwa mabao 3-1. 
Super Star ilitwaa ubingwa huo katika mchezo wa fainali ya ligi ya Taifa ngazi ya mkoa uliopigwa juzi katika dimba la Mabatini, Mlandizi ambapo mabao ya mabingwa hao yakifungwa na Yahaya Ndege aliyefunga mawili na Hemed Issa aliyefunga moja huku lile la Young Blood. 

Comments