SLAIYANK AACHIA AACHIA SINGO MPYA

Slaiyank the Quality Brother aunga mkono campaign za kukomesha beto pande za ChugaTown,hii ni ngoma ya tatu nayorelease katika kutambulisha ujio wa album yangu ya "Kilicho bora",na single ii kaunda Defxtro pande za noizmekah.com,Track inaitwa Quality Brothers au kifupi "QB",Mategemeo yangu makubwa ni kuweza kuelimisha jamii kupitia muziki wangu na mimi kama Mc nasmama kama mfano kukanya fikra potofu kuwa ubabe na fujo ni ujanja,Music inakosa support kubwa sana kwa itikadi hizi maana kama ni ajira halafu tunawakosea mashabiki heshima je tutakula wapi!?

Comments