SIMBA YA UKWELI KUREJEA BONGO J'3

BAADA ya kufanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya michuano ya Shirikisho barani Africa (CAF) wawakilishi wa TAnzania kwenye michuano hiyo Simba wanatarajiwa kurejea nchini Jumatatu Alfajiri.
Simba imewtinga hatua hiyo baada ya kuitoa Es Setif ya Nigeria kwa jumla ya mabao 3-3, awali iliitandika 2-0 hapa nchini kabla ya jana kubamizwa 3-1 lakini Simba ilibebwa na bao la ugenini.
Baada ya kuvuka hatua hiyo Simba itakutana na Al Ahly ya Sudan.

Comments