SIMBA WAINGIA CHIMBONI KWAO KUNOA MAKALI

VINARA wa ligi kuu soka Tanzania Bara Simba inaingia kambini jioni ya leo kwa ajili ya kujiandaa na michezxo yake ya ligi hiyo pamoja na ule wa Shirikisho (CAF) dhidi ya Al Ahly  Shandy ya Sudan mwishoni mwa mwezi huu.
Simba itaingia katika kambi yake ambayo ina bahati nayo, Hoteli ya Bamba Beach iliyopo Kighamboni jijini Dar es Salaam mara baada ya mazoezi yake ya jioni kwenye uwanja wa TCC Chang'ombe.
Ofisa Habari wa Simba Ezeckiel Kamwaga amesema kuwa wachezaji wote wapo katika hali nzuri.

Comments