SIMBA HAAOOOO ALGERIA


SIMBA inaondoka leo Cairo kuelekea Algeria, tayari kwa mechi ya marudiano ya Raundi ya Pili Kombe la Shirikisho la Soka Afrika.
Simba iliyolala Cairo jana baada ya kuondoka Dar es Salaam jana asubuhi, itacheza na ES Setif Ijumaa katika mchezo wa marudiano wa michuano hiyo.
Mechi ya kwanza, Simba ilishinda 2-0 na katika marudiano inahitaji hata sare iweze kusonga mbele.

Comments